Kwa niaba ya Mkate hai ministry ninayo heshima kukukaribisha mpendwa msomaji katika website yetu hii.
Ni tamanio letu kuwafikia watu wote kwa upendo wa Yesu kristo Bwana wetu.Tunataka kuwa mrija tuu wa kuwaleta watu kwa Yesu na kupitisha nguvu za Roho Mtakatifu ziwafikie watu wote ili waweze kukua katika marifa na kumjua Mungu.
Kumbukumbu la Torati 30:19-20
"Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;"
Ni lengo letu kuwafundisha waamini maarifa ya Mungu ili kwa msaada wa Roho Mtakatifu waweze kuchagua mema wapate kuishi maisha ya ushindi na Baraka katika Kristo Yesu.
Kama umekuwa ukifuatilia masomo hapa ndani nakiomba uendelee kwa uaminifu kabisa kujisomea kila mara hata kama somo husika umeisha lisoma mara kadhaa naomba lisome tena.Kumbuka neno la Mungu ni jipya kila siku.Nami nimekuombea kwa Mungu ili unaposoma upate kuelewa na pia upewe uwezo Wa kuyatendea kazi hayo ulijifunza
Na kama ulikuwa unatafuta website yanye mafundisho ya kweli au mahali pa kujifunza bible, Tafadhali jiunge nasi kupitia website hii au ungana na wapendwa wengine katika ibaada za mafundisho ya neno la Mungu zinaongozwa na huduma ya N.L.C mabibo fellowship Gereji Ubungo barabara ya Mandela, siku za ibaada na muda vimetolewa katika link ya ratiba yetu.
Tafadhali endelea kufurahia site hii. Na ikiwa una swali naomba usisite kuwasiliane nasi.
Na Mtumishi
Samuel A,Mwakatajila.

Karibu tuujenge ufalme wa Mungu
Na Mtumishi
Samuel A,Mwakatajila.