Neno ministry inatoa huduma za kiroho na za kijamii Kama vile:mafundisho,maombi na maombezi, kusaidia waishio katika mazingira magumu.
Samuel
Author & Editor
Mimi si mchungaji au nabii bali ni mjumbe tu wa Mungu ambaye kwa neema yake amenitumwa kwa kizazi hiki niwaambie habari zake Mungu na falme wake,nami nakuombea Mungu akujalie neema ya kuelewa na kuyaweka katika matendo uliyo yasoma.
December 04, 2019